UKALI NA VITISHO


Ukali na vitisho kwa mke na watoto ni dalili ya ubaba ulioshindwa. Mfumo dume kwa mwanaume asiyejiamini ni maangamizi kwa familia, kanisa, na taifa.