Kijana jiongeze ni moja ya program zinazoendeshwa na huduma ya Inuka Tuondoke. Lengo la programu hii kuwawezesha vijana watambue uwezo (vipaji/vipawa) uliomo ndani yao na fursa zilizopo waweze kuutumia kutimiza malengo yao. kwa maelezo zaidi juu ya programu hii endelea kusoma hapo chini.
Mwl Lazaro Kavageme.Waefeso 3:20 Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu.
DONATE
Tunatanguliza shukurani zetu kwakoASANTE KWA MCHANGO WAKO
BEST WEBSITE DESIGNER TZ
Tunatengeneza Website, blogger, Social Media Pages, Database, Graphics nk Contact us call +255716133775. Powered by Mr Zakayo Ndobeji
Social Plugin